Mkuu
wa majeshi wa Marekani amesema kampeni ya miezi mitatu dhidi ya dola ya
kiislamu Islamic State imekuwa na mafanikio, lakini akaonya Marekani na
washirika wake walikabiliana na ugumu pamoja vikwazo kwa muda mrefu.
Mkuu wa kikosi cha majeshi ya Marekani Generali Jack Dempsey anakadiria idadi ya wanamgambo wa dola ya kiislam kufikia 31,000.
Marekani imekuwa ikifanya mashambulizi ya anga dhidi ya kundi hilo, ambapo pia limekuwa likitoa ushauri na mafunzo kwenye majeshi kwa majeshi ya Marekani.
Chanzo; BBC
0 comments:
Post a Comment