Pages

MUHAMBA

MUHAMBA
MUHAMBA HERBAL PRODUCTS

A.J.T.C

A.J.T.C
ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE
Showing posts with label PICHA. Show all posts
Showing posts with label PICHA. Show all posts

Wednesday, 3 December 2014

HABARI PICHA: MAHAFALI YA TISA YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA (AJTC

Mkufunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha (AJTC) Bi NEEMA MWAIPELA akizungumza machache kabla ya mahafali ya tisa ya chuo hicho kuanza, yaliyofanyika katika ukumbi wa PPS Ijumaa mkoani Arusha.                                      ( Picha na Edilitruda Chami)


PICHA; MAMA MJASIRIAMALI AKIJISHUGHULISHA KATIKA BIASHARA YAKE

Mama Mjasilriamali Bi HADIJA KASIMU Akipika na Kuuza vyakula vya Bei rahisi kwa wanafunzi wa chuo cha Uandishi wa Habari na uatangazaji Arusha (AJTC)
Picha na; LILIAN REUBEN

PICHA; MSANII WA HIP HOP, SIDE TONIC AKITUMBUIZA

Msanii wa HIP HOP SIDE TONIC Akitumbuiza katika ukumbi wa kukutania wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha (AJTC) Kabla ya kuanza kwa mashindano ya Utangazaji kati ya chuo hicho na chuo cha Habari Maalumu
Picha na; DADU CHARLES

HABARI PICHA:WAKUFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA.

Wakufunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi kwenye mahafali ya tisa ya chuo hicho. (Picha na Glory Chacky)

PICHA; MATUKIO YA MAHAFALI YA TISA KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA

Mwajuma abdul Akisoma Risala maalumu kwa mgeni rasmi katika mahafali ya Tisa ya chuo cha uandishi wa habari Na Utangazaji Arusha (AJTC) yaliyofanyika kwenye ukumbi wa PPS
Picha na; PROTTE MMANGA

PICHA; MATUKIO YA MAHAFALI KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA

Mhitimu wa ngazi ya Diploma katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha Bi MERLINE OLOTU Akikata keki katika hafra fupi baada ya Mahafali iliyofanyika katika ukumbi wa PPS
                                    PICHA NA; GASPER MUSHI

PICHA; MADHARA YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ARUSHA

Haya ni baadhi ya madhara yaliyosababishwa na Mvua zinazoendlea kunyesha JijininArusha
Picha na; PETER ALOYCE

HABARI PICHA: UWASILISHAJI WA SOMO KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA.

Wanafunzi wa chuo cha uandishi  habari na utangazaji Arusha wakifuatilia uwasilishaji wa somo katika ukumbi wa chuo hicho. (Picha na Emma Moshi)

Mkufunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha Bw. ONESMO ELIA MBISE akitoa hitimisho baada ya uwasilishwaji wa somo chuoni hapo hivi karibuni. (Picha na Mbonea E. Daniel)

Makamu mkuu wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha Bw. ELIFURAHA JOHN SAMBOTO akifurahia jambo wakati wa uwasilishwaji wa somo chuoni hapo. (Picha na Giftsilvano Msangi)

Mwanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na tangazaji Arusha, Mwanahawa Kitomari akifanya uwasilishaji wa somo chuoni hapo. (Picha na Veronica Mramboah)

Tuesday, 2 December 2014

PICHA; MATUKIO YA IBADA KATIKA KANISA LA TAG ARUSHA

Mchungaji STEPHANO Akihubiri Neno la MUNGU Katika kanisa la TAG Kwamorombo Arusha
                                                     Picha na; SALUM B DINONGO



Watumishi Wa MUNGU wakiwaongoza sala ya Toba waumini kanisani hapo
                                                        Picha na; SALUM B DINONGO

Monday, 24 November 2014

TAZAMA PICHA ZA MAZINGIRA YA NJE YA SHULE YA LUCKY VICENT ILIYOKO KWA MOROMBO ARUSHA

Huu ndio mwonekano halisi wa nje wa Jengo la Shule ya LUCKY VICENT kwa mbali

Jengo la shule ya LUCK VICENT Kwa karibu
Picha na; SAIDY LAZIMA

PICHA; Hali ya Uchafu katika soko la Morombo Jijini Arusha

Wafanyabiashara katika soko la kwamrombo wakiuza bidhaa zao pembezoni mwa Maji machafu
.
                                                          Picha na; KEPHAS DANIEL




Hali ya Uchafu katika soko la kwamrombo
                                                             Picha na; KEPHAS DANIEL


Mama JOHN maarufu kwa Jina la mama mbogamboga akichambua Mboga katika eneo lake la kufanyia biashara sokoni hapo
                                                             Picha na; KEPHAS DANIEL

AJTC

AJTC
ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLEGE