Pages

MUHAMBA

MUHAMBA
MUHAMBA HERBAL PRODUCTS

A.J.T.C

A.J.T.C
ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE
Showing posts with label ENTERTAINMENT. Show all posts
Showing posts with label ENTERTAINMENT. Show all posts

Wednesday, 3 December 2014

msanii chipukizi ODEO kutambulisha video yake itazame apa

       TARANGIRE MEDIA

Kwa dakika zako chache itazame video mpya ya mr Blue pesa apa chini

    Video na FRANCIS  MATANA

BOFYA HAPA UONE VIDEO MPYA YA KWAKE YEMI ALADE INAYOKWENDA KWA JINA LA KISSING

Video na  Elieth  Mtaita

WANARIADHA WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA WAANZA MAZOEZI MAPEMA KUJIANDAA NA BONANZA


Wanariadha wa timu ya chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakiwa katika mazoezi yao ya kawaida kwenye viwanja vya jeshi la kutuliza ghasia. Picha na Elieth Mtaita

TAZAMA VIDEO YA MOTO BAND APA .NISEME

     Video na CHRISTINA KILOVELE

downlod video ya Bahati Bukuku iliyowahuzunisha wanawake wengi

video na Edilitruda Chami

TIZAMA VIDEO YA NYIMBO YA TANGULIA MBELE YA MWIMBAJI WA INJILI AMBWENE MWASONGWE

VIDEO NA SINYATI KILUSU.
TANGULIA MBELE.

NA GLORY CHACKY: DOWNLOD VIDEO MPYA YA WAKAZI INAYOITWA WANAWAKE WA DAR.

Download video mpya ya lady jaydee ft Dabo Forever

    Video na Neema Mwampamba

TAZAMA VIDEO MPYA YA G NAKO TOKA WEUSI FAMILY MORALE


    VIDEO NA OMBENI PELE

NA MBONEA DANIEL: DOWNLOD WIMBO WA NYOTA NJEMA WA TM MUSIC UKUFARIJI KATIKA KIPINDI HIKI X-MASS

VIDEO NA VERONICA MRAMBOAH: LADY JAY DEE AZIDI KUWIKA KONA ZOTE ZA DUNIA

 

Downlod Video ya Boney M katika msimu huu wa chrismas - SILENT NIGHT

Video na Emma Moshi

Downlod video ya Boney M Chrismas - Mary's Boy




NA: Giftsilvano Msangi

Rose Muhando azidi kung'ara

Video na Lydia kishia

TIZAMA VIDEO YA NYIMBO YA NIBARIKI YA ROSE MUHANDO AMBAYO IMETOKA HIVI KARIBUNI

VIDEO NA ESTHER .A. CHAVALA
NIBARIKI

Tuesday, 2 December 2014

TIZAMA VIDEO MPYA YA AMBWENE MWASONGWE



fonia bundala
wimbo wa misuli ya imani

WASANII WA NYIMBO ZA INJILI WAUNGANA KUPINGA SIASA CHAFU


VIDEO NA JASMINI MUMI

HABARI PICHA: MATUKIO YALIYOJIRI ARUSHA WIKI HII

Dokta Hamisi Kigwangala akilakiwa na waumini wa kanisa la KKKT Olorieni jijini Arusha Hivi karibuni

Dokta Kigwangalla akihojiwa na mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi Mussa Juma juu ya suala la Escrow account

Dokta Kigwangallah akitoa nasaha kwa wananakwaya wa kwaya ya Msifuni iliyozindua albamu yao ya Video hivi karibuni katika kanisa la KKKT Olorieni jijini Arusha hivi karibuni

Monday, 1 December 2014

TAMASHA LA NYIMBO ZA INJILI LAFANA SANA JIJINI ARUSHA


Mtangazaji maarufu wa radio living water ya jijini Mwanza NEEMA NDULLU aliyekuwa mshereheshaji wa tamasha la waimbaji lililofanyika jana katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania mtaa wa MARA usharika wa Olorieni jimbo la kaskazini kati lililokuwa na nia ya kumuinua na kumsifu Mungu kwa njia ya uimbaji

Mwimbaji wa nyimbo za injili Peter Mwabulambo akiwapa burudani ya aina yake katika tamasha la waimbaji wa nyimbo za injili lililofanyika katika kanisa la KKT olorieni jana jioni

Vijana wa EZEKIEL VISION wakimsifu na kumtukuza MUNGU katika tamasha hilo

Mwibaji Abednego wa nyimbo za injili na timu yake wakiwaburudisha waumini waliohudhuria tamasha hilo la nyimbo za INJILI

AJTC

AJTC
ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLEGE