Wanafunzi wa chuo cha uandishi habari na utangazaji Arusha wakifuatilia uwasilishaji wa somo katika ukumbi wa chuo hicho. (Picha na Emma Moshi) |
Mkufunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha Bw. ONESMO ELIA MBISE akitoa hitimisho baada ya uwasilishwaji wa somo chuoni hapo hivi karibuni. (Picha na Mbonea E. Daniel) |
Makamu mkuu wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha Bw. ELIFURAHA JOHN SAMBOTO akifurahia jambo wakati wa uwasilishwaji wa somo chuoni hapo. (Picha na Giftsilvano Msangi) |
Mwanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na tangazaji Arusha, Mwanahawa Kitomari akifanya uwasilishaji wa somo chuoni hapo. (Picha na Veronica Mramboah) |
0 comments:
Post a Comment