Mgeni rasmi katika mahafali ya tisa ya chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha Bw. Fredrick Mumbuli ambaye amesimama katikati akihutubia katika mahafali hayo ambayo yalifanyika tarehe 28 mwezi wa 11 mwaka huu katika ukumbi wa PPS jijini Arusha. PICHA NA ESTHER A. CHAVALA |
0 comments:
Post a Comment