Pages

MUHAMBA

MUHAMBA
MUHAMBA HERBAL PRODUCTS

A.J.T.C

A.J.T.C
ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE

Wednesday, 12 November 2014

WABUNGE WATAKIWA KUTANGAZA MALI ZAO PINDI WANAPO STAAFU

NA GLORI CHACKY
Mbunge wa Viti Maalum, Amina Abdullah Amour (CUF), ameitaka itunge sheria ya kuwataka viongozi wa umma kuorodhesha mali zao wanapostaafu ili kujua ni mali walizopata wakati wa uongozi wao.


 Akijibu swali hilo kwa niaba ya Waziri wa Nchi

FIKRA ZA OSAMA ZAFUNZWA KWA WATOTO PAKISTANI


NA EMMA MOSHI


  • 12 Novemba 2014

 tarangiremedia.blogsports.com


Kiongozi wa kidini nchini Pakistani Abdul Aziz Ghazi anayemiliki shule nane zinazofundisha msimamo wa Bin Laden anatoa mafunzo ya fikra za Osama bin Laden kwenye shule za dini kwa Wanafu

Migogoro Iraq na Syria imezaa wakimbizi milioni 13.6

Migogoro Iraq na Syria imezaa wakimbizi milioni 13.6

HABARI NA OMBEN PELE,chanzo REDIO TEHRAN
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, migogoro ya Syria na Iraq imesababisha karibu wakimbizi milioni 13.6 na kuleta hali mbali ya kibinadamu katika baadhi ya maeneo ya nchi hizo. 

Ripoti ya shirika hilo imeeleza kuwa, wengi wa wakimbizi hao wanaishi bila chakula na makazi huku msimu wa baridi ukianza.

Idadi hiyo inajumuisha watu milioni 7.3 ambao ni wakimbizi ndani ya Syria, milioni 3.3 walioomba hifadhi nje ya nchi, milioni 1.9 wakimbizi ndani ya Iraq na laki na 90 elfu ambao wako katika nchi jirani. 

 Amin Awadh Mkurugenzi wa UNHCR Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika amesema kuwa, wakimbizi wa Syria wamekimbilia katika nchi za Lebanon, Jordan, Iraq na Uturuki na kuzitaka nchi nyinginezo hasa za Ulaya kufungua milango ya mipaka yao ili kuwapokea wakimbizi hao.

Ameongeza kuwa, Russia na China zinaongoza kwa kutoa misaada kwa ajili ya wakimbizi wa Syria.

MREMA APOKELEWA KWA KISHINDO NA WANANCHI WA JIMBO LAKE

NA: GASPER MUSHI
Mkutano wa hadhara wa chama cha Tanzania Labour (TLP) uliokuwa ukihutubiwa na Mbunge wa jimbo la Vunjo Agustine Mrema jirani na matanki ya Maji katika kijiji cha Mieresini wilaya ya Moshi vijijini.
Afisa uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Frolah Nguma (aliyesimama)akitoa ufafanuzi juu ya maswala ya maji baada ya Mbunge Mrema kumtaka kufanya hivyo muda mfupi baada ya maofisa wa Mamlaka hiyo kufika katika Matenki ya Maji kwa ajili ya ukaguzi wa kawaida.
Msimamizi mkuu wa (MUWSA) Kituo cha Himo Brucevictor Sangawe akitoa ufafanuzi kwa wananchi mbele ya mbunge wa jimbo la Vunjo ,Agustine Mrema juu ya upatikanaji wa maji kwa wakazi wa maeneo ya ukanda wa juu katika mji wa Himo.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mbunge Mrema.
Mh Mrema akifuatilia maelezo ya maofisa wa Mamlaka ya maji na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) walipokuwa wakitoa maelezo kwa wananchi (hawapo pichani)  ,Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya kasakazini.

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA UFUGAJI NYUKI ARUSHA

UTATA MPYA TENA WAIBUKA SASA JUU YA URAIA WA MISS TANZANIA MPYA LILIAN KAMAZIMA

Baada ya taji la Miss Tanzania kuvishwa kwa mshindi wa pili, utata mwingine umeibuka baada ya mrithi huyo, Lilian Kamazima kudaiwa kuwa si raia halali wa Tanzania. 
 
Jana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kulikuwa na taarifa zinazodai kuwa Lilian siyo raia wa Tanzania na kwamba anatokea Rwanda.

LOWASSA AZINDUA HELKOPTA YA GWAJIMA KWA KISHINDO



Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima,Kawe jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye viwanja vya kawe lilipo Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima leo.

AJTC

AJTC
ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLEGE